1
2 Wakorintho 1:3-4
Swahili Revised Union Version
Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu.
Compare
Explore 2 Wakorintho 1:3-4
2
2 Wakorintho 1:5
Kwa kuwa kama vile mateso ya Kristo yanavyozidi kwetu, vivyo hivyo faraja yetu inazidi kwa njia ya Kristo.
Explore 2 Wakorintho 1:5
3
2 Wakorintho 1:9
Naam, sisi wenyewe tulikuwa na hukumu ya mauti katika nafsi zetu ili tusijitumainie nafsi zetu, bali tumtumaini Mungu, awafufuaye wafu
Explore 2 Wakorintho 1:9
4
2 Wakorintho 1:21-22
Basi Yeye atufanyaye imara pamoja nanyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu, naye ndiye aliyetutia mhuri akatupa arabuni ya Roho mioyoni mwetu.
Explore 2 Wakorintho 1:21-22
5
2 Wakorintho 1:6
Lakini ikiwa sisi tu katika dhiki, ni kwa ajili ya faraja yenu na wokovu wenu; au ikiwa twafarijiwa, ni kwa ajili ya faraja yenu; ambayo hutenda kazi yake kwa kustahimili mateso yale yale tuteswayo na sisi.
Explore 2 Wakorintho 1:6
Home
Bible
Plans
Videos