1
Wakolosai 1:13
Swahili Revised Union Version
Naye alituokoa kutoka kwa nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake mpendwa
Compare
Explore Wakolosai 1:13
2
Wakolosai 1:16
Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au milki, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.
Explore Wakolosai 1:16
3
Wakolosai 1:17
Naye amekuwako kabla ya vitu vyote, na vitu vyote hushikana katika yeye.
Explore Wakolosai 1:17
4
Wakolosai 1:15
Naye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.
Explore Wakolosai 1:15
5
Wakolosai 1:9-10
Kwa sababu hiyo sisi nasi, tangu siku ile tuliposikia, hatuachi kufanya maombi na dua kwa ajili yenu, ili mjazwe maarifa ya mapenzi yake katika hekima yote na ufahamu wa rohoni; mwenende kama ulivyo wajibu wenu kwa Bwana, mkimpendeza kabisa; mkizaa matunda kwa kila kazi njema, na kuzidi katika maarifa ya Mungu
Explore Wakolosai 1:9-10
Home
Bible
Plans
Videos