1
Kumbukumbu la Torati 26:19
Swahili Revised Union Version
na kuwa atakutukuza juu ya mataifa yote aliyoyafanya, kwa sifa, na jina, na heshima, nawe upate kuwa taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako, kama alivyosema.
Compare
Explore Kumbukumbu la Torati 26:19
2
Kumbukumbu la Torati 26:18
naye BWANA amekuungama hivi leo kuwa taifa iliyotengwa iwe yake yeye, kama alivyokuahidi, na kuwa yakupasa kushika maagizo yake yote
Explore Kumbukumbu la Torati 26:18
Home
Bible
Plans
Videos