1
Kumbukumbu la Torati 32:4
Swahili Revised Union Version
Yeye Mwamba, kazi yake ni kamilifu; Maana, njia zake zote ni haki. Mungu wa uaminifu, asiye na uovu, Yeye ndiye mwenye haki na adili.
Compare
Explore Kumbukumbu la Torati 32:4
2
Kumbukumbu la Torati 32:39
Fahamu sasa ya kuwa Mimi, naam, Mimi ndiye, Wala hapana Mungu mwingine ila Mimi; Naua Mimi, nahuisha Mimi, Nimejeruhi, tena naponya; Wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu
Explore Kumbukumbu la Torati 32:39
3
Kumbukumbu la Torati 32:3
Maana nitalitangaza Jina la BWANA; Mpeni ukuu Mungu wetu.
Explore Kumbukumbu la Torati 32:3
Home
Bible
Plans
Videos