1
Kumbukumbu la Torati 34:10
Swahili Revised Union Version
Wala hajainuka tena katika Israeli nabii kama Musa, ambaye BWANA alimjua uso kwa uso
Compare
Explore Kumbukumbu la Torati 34:10
2
Kumbukumbu la Torati 34:9
Na Yoshua, mwana wa Nuni, alikuwa amejaa roho ya hekima; maana Musa alikuwa amemwekea mikono yake juu yake; wana wa Israeli wakamsikiliza, wakafanya kama BWANA alivyomwamuru Musa.
Explore Kumbukumbu la Torati 34:9
3
Kumbukumbu la Torati 34:7
Musa alikuwa mtu wa miaka mia moja na ishirini alipokufa; jicho lake halikupofuka, wala nguvu za mwili wake hazikupunguka.
Explore Kumbukumbu la Torati 34:7
Home
Bible
Plans
Videos