1
Kumbukumbu la Torati 7:9
Swahili Revised Union Version
Basi jueni ya kuwa BWANA, Mungu wenu, ndiye Mungu; Mungu mwaminifu, ashikaye agano lake na rehema zake kwao wampendao, na kushika amri zake, hadi vizazi elfu
Compare
Explore Kumbukumbu la Torati 7:9
2
Kumbukumbu la Torati 7:6
Kwa maana wewe u taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako; BWANA Mungu wako, amekuchagua kuwa watu wake hasa, zaidi ya mataifa yote walioko juu ya uso wa nchi.
Explore Kumbukumbu la Torati 7:6
3
Kumbukumbu la Torati 7:8
bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kukitimiza kiapo chake alichowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri.
Explore Kumbukumbu la Torati 7:8
4
Kumbukumbu la Torati 7:7
BWANA hakuwapenda ninyi, wala hakuwachagua ninyi, kwa sababu mlikuwa wengi kuliko mataifa yote, maana mlikuwa wachache kuliko watu wote
Explore Kumbukumbu la Torati 7:7
5
Kumbukumbu la Torati 7:14
Utabarikiwa kuliko mataifa yote; hakutakuwa na mwanamume wala mwanamke aliye tasa kati yenu; wala kati ya wanyama wenu wa kufugwa.
Explore Kumbukumbu la Torati 7:14
Home
Bible
Plans
Videos