1
Mathayo 3:8
Swahili Revised Union Version
Basi zaeni matunda yapasayo toba
Compare
Explore Mathayo 3:8
2
Mathayo 3:17
na tazama, sauti kutoka mbinguni ikasema, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.
Explore Mathayo 3:17
3
Mathayo 3:16
Naye Yesu alipokwisha kubatizwa mara aliibuka kutoka majini na tazama, mbingu zikamfunukia, akamwona Roho wa Mungu akishuka kama hua, na kutua juu yake
Explore Mathayo 3:16
4
Mathayo 3:11
Kweli mimi nawabatiza kwa maji kwa ajili ya toba; bali yeye ajaye nyuma yangu ana nguvu kuliko mimi, wala sistahili hata kuvichukua viatu vyake; yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
Explore Mathayo 3:11
5
Mathayo 3:10
Na shoka limekwisha kuwekwa penye mashina ya miti; basi kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni.
Explore Mathayo 3:10
6
Mathayo 3:3
Kwa sababu huyo ndiye aliyenenwa na nabii Isaya, akisema, Sauti ya mtu aliaye nyikani, Itengenezeni njia ya Bwana, Yanyosheni mapito yake.
Explore Mathayo 3:3
Home
Bible
Plans
Videos