1
Filemoni 1:6
Swahili Revised Union Version
naomba ili kwamba ushirika wa imani yako ufanye kazi yake, katika ujuzi wa kila kitu chema kilicho kwetu, katika Kristo.
Compare
Explore Filemoni 1:6
2
Filemoni 1:7
Maana nilikuwa na furaha nyingi na faraja kwa sababu ya upendo wako, kwa kuwa mioyo ya watakatifu imeburudishwa nawe, ndugu yangu.
Explore Filemoni 1:7
3
Filemoni 1:4
Namshukuru Mungu wangu sikuzote, nikikukumbuka katika maombi yangu
Explore Filemoni 1:4
Home
Bible
Plans
Videos