1
Zaburi 143:10
Swahili Revised Union Version
Unifundishe kuyatenda mapenzi yako, Kwa maana ndiwe Mungu wangu; Roho yako mwema aniongoze katika njia iliyo sawa
Compare
Explore Zaburi 143:10
2
Zaburi 143:8
Uniwezeshe kusikia fadhili zako asubuhi, Kwa maana nimekutumaini Wewe. Unifundishe njia nitakayoiendea, Kwa maana ninakuinulia nafsi yangu.
Explore Zaburi 143:8
3
Zaburi 143:9
Ee BWANA, uniponye kutoka kwa adui zangu; Nimekukimbilia Wewe, unifiche.
Explore Zaburi 143:9
4
Zaburi 143:11
Ee BWANA, uniponye kwa ajili ya jina lako, Kwa haki yako unitoe roho yangu taabuni
Explore Zaburi 143:11
5
Zaburi 143:1
Ee BWANA, uisikie sala yangu, uzisikilize dua zangu Unijibu Kwa uaminifu wako, Unijibu kwa haki yako.
Explore Zaburi 143:1
6
Zaburi 143:7
Ee BWANA, unijibu hima, roho yangu imelegea; Usinifiche uso wako, Nisifanane nao washukao shimoni.
Explore Zaburi 143:7
7
Zaburi 143:5
Nimezikumbuka siku za kale, Nimeyatafakari matendo yako yote, Naziwaza kazi za mikono yako.
Explore Zaburi 143:5
Home
Bible
Plans
Videos