1
Zaburi 17:8
Swahili Revised Union Version
Unilinde kama mboni ya jicho, Unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako
Compare
Explore Zaburi 17:8
2
Zaburi 17:15
Bali mimi nikutazame uso wako katika haki, Niamkapo nishibishwe kwa sura yako.
Explore Zaburi 17:15
3
Zaburi 17:6-7
Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika, Utege sikio lako ulisikie neno langu. Dhihirisha fadhili zako za ajabu Wewe uwaokoaye wanaokukimbilia; Kwa mkono wako wa kulia Uwaokoe kutoka kwa adui zao.
Explore Zaburi 17:6-7
Home
Bible
Plans
Videos