1
Zaburi 65:4
Swahili Revised Union Version
Heri mtu yule umchaguaye, Na kumkaribisha akae nyuani mwako. Na tushibe wema wa nyumba yako, Patakatifu pa hekalu lako.
Compare
Explore Zaburi 65:4
2
Zaburi 65:11
Umeuvika mwaka taji la wema wako; Mapito yako yadondoza unono.
Explore Zaburi 65:11
3
Zaburi 65:5
Kwa mambo ya kutisha utatujibu, Katika haki, Ee Mungu wa wokovu wetu. Wewe uliye tumaini la miisho yote ya dunia, Na la bahari iliyo mbali sana
Explore Zaburi 65:5
4
Zaburi 65:3
Tutakapozidiwa na matendo maovu Wewe utatuondolea uovu wetu.
Explore Zaburi 65:3
Home
Bible
Plans
Videos