1
Matendo 4:12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yesu peke yake ndiye anayeweza kuokoa watu. Jina lake ndiyo nguvu pekee iliyotolewa kumwokoa mtu yeyote ulimwenguni. Ni lazima tuokoke kupitia yeye!”
Compare
Explore Matendo 4:12
2
Matendo 4:31
Baada ya waamini kuomba, mahali walipokuwa palitikisika. Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, na wakaendelea kuhubiri Habari Njema bila woga.
Explore Matendo 4:31
3
Matendo 4:29
Na sasa, Bwana, sikiliza wanayosema. Wanajaribu kututisha. Sisi ni watumishi wako. Tusaidie ili tuseme yale unayotaka tuseme bila kuogopa.
Explore Matendo 4:29
4
Matendo 4:11
Yesu ndiye ‘Jiwe ambalo ninyi wajenzi mlilikataa. Lakini jiwe hili limekuwa jiwe na msingi.’
Explore Matendo 4:11
5
Matendo 4:13
Viongozi wa Kiyahudi walijua kuwa Petro na Yohana walikuwa watu wa kawaida wasio na elimu yoyote. Lakini walikuwa wanazungumza kwa ujasiri bila woga; viongozi walishangaa. Walitambua pia kuwa Petro na Yohana walikuwa pamoja na Yesu.
Explore Matendo 4:13
6
Matendo 4:32
Kundi lote la waamini waliungana katika kuwaza na katika mahitaji yao. Hakuna aliyesema vitu alivyokuwa navyo ni vyake peke yake. Badala yake walishirikiana kila kitu.
Explore Matendo 4:32
Home
Bible
Plans
Videos