1
Yohana 20:21-22
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Kisha Yesu akasema tena, “Amani iwe nanyi. Kama vile Baba alivyonituma, nami sasa nawatuma ninyi vivyo hivyo.” Kisha akawapumulia pumzi na kusema, “Pokeeni Roho Mtakatifu.
Compare
Explore Yohana 20:21-22
2
Yohana 20:29
Yesu akamwambia, “Unaamini kwa sababu umeniona. Wana baraka nyingi watu wale wanaoniamini bila kuniona!”
Explore Yohana 20:29
3
Yohana 20:27-28
Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa. Iangalie mikono yangu. Weka mkono wako hapa ubavuni mwangu. Acha kuwa na mashaka na uamini.” Tomaso akamwambia Yesu, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Explore Yohana 20:27-28
Home
Bible
Plans
Videos