1
Luka 24:49
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Tazama nitawatumia ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini hadi mtakapovikwa uwezo kutoka juu.”
Compare
Explore Luka 24:49
2
Luka 24:6
Hayuko hapa; amefufuka! Kumbukeni alivyowaambia alipokuwa bado yuko pamoja nanyi huko Galilaya kwamba
Explore Luka 24:6
3
Luka 24:31-32
Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena. Wakaulizana wao kwa wao, “Je, mioyo yetu haikuwaka ndani yetu alipokuwa anazungumza nasi njiani na kutufafanulia Maandiko?”
Explore Luka 24:31-32
4
Luka 24:46-47
Akawaambia, “Haya ndio yaliyoandikwa: Al-Masihi atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu. Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu.
Explore Luka 24:46-47
5
Luka 24:2-3
Wakakuta lile jiwe limevingirishwa kutoka mdomo wa kaburi, lakini walipoingia ndani, hawakuuona mwili wa Bwana Isa.
Explore Luka 24:2-3
Home
Bible
Plans
Videos