1
Kumbukumbu la Sheria 1:30-31
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambaye huwatangulia, yeye mwenyewe atapigana kwa ajili yenu kama alivyofanya mbele yenu kule Misri na kule jangwani ambako mliona jinsi alivyowabeba safari hiyo yote kama vile baba amchukuavyo mwanawe mpaka mkafika hapa.
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 1:30-31
2
Kumbukumbu la Sheria 1:11
Mwenyezi-Mungu, Mungu wa babu zenu, na awafanye mzidi kuongezeka mara elfu zaidi ya mlivyo sasa na kuwabariki kama alivyoahidi!
Explore Kumbukumbu la Sheria 1:11
3
Kumbukumbu la Sheria 1:6
“Tulipokuwa mlimani Sinai, Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu alituambia hivi: ‘Mmekaa muda wa kutosha kwenye mlima huu
Explore Kumbukumbu la Sheria 1:6
4
Kumbukumbu la Sheria 1:8
Nchi hii yote nimeiweka mbele yenu. Basi, nendeni mkaimiliki nchi hiyo ambayo mimi Mwenyezi-Mungu niliapa kuwapa wazee wenu Abrahamu, Isaka, Yakobo na wazawa wao.’”
Explore Kumbukumbu la Sheria 1:8
5
Kumbukumbu la Sheria 1:17
Msimpendelee mtu yeyote katika kutoa hukumu; mtawasikiliza bila upendeleo, wakubwa kwa wadogo. Msitishwe na mtu yeyote, maana hukumu mnayotoa inatoka kwa Mungu. Kesi yoyote ikiwa ngumu zaidi kwenu, ileteni kwangu, nami nitaisikiliza.’
Explore Kumbukumbu la Sheria 1:17
Home
Bible
Plans
Videos