1
Kumbukumbu la Sheria 23:23
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Uwe mwangalifu kutimiza nadhiri uliyotamka kwa mdomo wako, maana ulimwahidi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, kwa hiari yako.
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 23:23
2
Kumbukumbu la Sheria 23:21
Unapoweka nadhiri kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, usichelewe kuitekeleza, maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wako ataidai kwako, nawe utakuwa na kosa.
Explore Kumbukumbu la Sheria 23:21
3
Kumbukumbu la Sheria 23:22
Lakini ukiacha kuweka nadhiri hutakuwa na dhambi.
Explore Kumbukumbu la Sheria 23:22
Home
Bible
Plans
Videos