1
Kumbukumbu la Sheria 26:19
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Atawafanyieni nyinyi kuwa taifa kubwa kuliko mataifa yote aliyoyaumba. Nanyi mtalitetea jina lake, sifa yake na heshima yake. Nyinyi mtakuwa watu wake, walio mali yake, kama alivyoahidi.”
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 26:19
2
Kumbukumbu la Sheria 26:18
Naye Mwenyezi-Mungu ametamka rasmi leo hii kwamba nyinyi ni watu wake yeye mwenyewe kama alivyowaahidi na kwamba mnatakiwa kushika amri zake zote.
Explore Kumbukumbu la Sheria 26:18
Home
Bible
Plans
Videos