1
Kumbukumbu la Sheria 28:1
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
“Kama mkiitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu na kuzingatia kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote duniani.
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:1
2
Kumbukumbu la Sheria 28:2
Kama mkitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, mtapewa baraka zifuatazo
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:2
3
Kumbukumbu la Sheria 28:13
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafanya kuwa wa kwanza kwa nguvu na sio wa mwisho. Mtaendelea mbele na sio kurudi nyuma kama mkishika amri zake ambazo ninawapeni leo na kuwa waangalifu kuzitekeleza
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:13
4
Kumbukumbu la Sheria 28:12
Mwenyezi-Mungu atawafungulieni hazina yake nzuri kutoka mbinguni na kunyesha mvua katika nchi kwa wakati wake, na kubariki kazi zenu. Mtayakopesha mataifa mengi, lakini nyinyi hamtakopa.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:12
5
Kumbukumbu la Sheria 28:7
Maadui zenu wakiwashambulia, Bwana atawapeni ushindi juu yao. Wakija kuwashambulia kwa njia moja watawakimbieni kwa njia saba.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:7
6
Kumbukumbu la Sheria 28:8
Baraka za Mwenyezi-Mungu zitakuwa katika ghala zenu za nafaka na katika shughuli zenu zote. Atawabariki katika nchi ambayo anawapeni.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:8
7
Kumbukumbu la Sheria 28:6
Mtabarikiwa mnaporudi nyumbani na mnapotoka nje.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:6
8
Kumbukumbu la Sheria 28:3
“Miji yenu itabarikiwa na mashamba yenu.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:3
9
Kumbukumbu la Sheria 28:4
“Mtabarikiwa mpate wazawa wengi, mavuno mengi, ng'ombe na kondoo wengi.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:4
10
Kumbukumbu la Sheria 28:9
“Mwenyezi-Mungu atawafanyeni kuwa watu wake watakatifu kama alivyowaahidi, kama mkizitii amri zake yeye Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, na kufuata njia zake.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:9
11
Kumbukumbu la Sheria 28:5
“Vikapu vyenu vya nafaka vitabarikiwa na vyombo vyenu vya kukandia.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:5
12
Kumbukumbu la Sheria 28:11
Mwenyezi-Mungu atawafanikisha kwa wingi: Watoto, mifugo na mavuno shambani katika nchi aliyowaapia wazee wenu kuwa atawapeni
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:11
13
Kumbukumbu la Sheria 28:10
Mataifa yote duniani yakiona kwamba nyinyi mnaitwa kwa jina la Mwenyezi-Mungu yatawaogopa.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:10
14
Kumbukumbu la Sheria 28:14
bila kugeuka kulia au kushoto kuifuata miungu mingine na kuitumikia.
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:14
15
Kumbukumbu la Sheria 28:15
“Lakini kama hamtaitii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, au msipokuwa waangalifu kutekeleza amri zake zote na masharti ninayowaamuru leo, basi mtapatwa na laana hizi zote
Explore Kumbukumbu la Sheria 28:15
Home
Bible
Plans
Videos