1
Kumbukumbu la Sheria 4:29
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Kisha kutoka humohumo nchini mtamtafuta Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nanyi mtampata kama mkimtafuta kwa moyo wote na roho yote.
Compare
Explore Kumbukumbu la Sheria 4:29
2
Kumbukumbu la Sheria 4:31
Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni Mungu mwenye rehema, hatawaacheni wala kuwaangamiza, wala kusahau agano ambalo alifanya na wazee wenu kwa kiapo.
Explore Kumbukumbu la Sheria 4:31
3
Kumbukumbu la Sheria 4:24
maana Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ni moto uteketezao; yeye ni Mungu mwenye wivu.
Explore Kumbukumbu la Sheria 4:24
4
Kumbukumbu la Sheria 4:9
“Lakini muwe waangalifu na kujihadhari sana msije mkasahau mambo yale mliyoyaona kwa macho yenu wenyewe. Isije ikatokea hata mara moja maishani mwenu mambo hayo yakasahaulika mioyoni mwenu. Wasimulieni watoto wenu na wajukuu wenu
Explore Kumbukumbu la Sheria 4:9
5
Kumbukumbu la Sheria 4:39
Basi, kumbukeni leo na kuweka mioyoni mwenu, kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye Mungu juu mbinguni na chini duniani; hakuna mwingine.
Explore Kumbukumbu la Sheria 4:39
6
Kumbukumbu la Sheria 4:7
“Hakuna taifa lolote hata liwe kuu namna gani, ambalo mungu wake yuko karibu nalo, kama alivyo karibu nasi Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, tunapomwomba msaada.
Explore Kumbukumbu la Sheria 4:7
7
Kumbukumbu la Sheria 4:30
Mambo haya yote yatakapowapata huko baadaye, mkapata taabu, mtamrudia Mwenyezi-Mungu na kumtii.
Explore Kumbukumbu la Sheria 4:30
8
Kumbukumbu la Sheria 4:2
Msiongeze chochote katika amri ninazowapeni, wala msipunguze kitu; zingatieni amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ambazo ninawapeni.
Explore Kumbukumbu la Sheria 4:2
Home
Bible
Plans
Videos