1
Yoshua 2:11
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Mara tu tuliposikia mambo hayo, tulikufa moyo kabisa kwa sababu yenu, tukaishiwa nguvu kabisa. Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ndiye Mungu juu mbinguni na chini duniani!
Compare
Explore Yoshua 2:11
2
Yoshua 2:10
Maana tumesikia jinsi Mwenyezi-Mungu alivyoyakausha maji ya bahari ya Shamu mbele yenu mlipotoka nchi ya Misri, na jinsi mlivyowatendea wafalme wawili wa Waamori waliokuwa ngambo ya mto Yordani, yaani Sihoni na Ogu, ambao mliwaangamiza kabisa.
Explore Yoshua 2:10
3
Yoshua 2:8-9
Rahabu akawaendea hao wapelelezi juu darini kabla hawajalala, akawaambia, “Mimi ninajua kwamba Mwenyezi-Mungu amewapa nchi hii; tumekumbwa na hofu juu yenu na wakazi wote wa nchi hii wamekufa moyo kwa sababu yenu.
Explore Yoshua 2:8-9
Home
Bible
Plans
Videos