1
Yoshua 6:2
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Angalia! Mimi nitautia mikononi mwako mji wa Yeriko pamoja na mfalme wake na askari wake shujaa.
Compare
Explore Yoshua 6:2
2
Yoshua 6:5
Watakapopiga hayo mabaragumu kwa mlio mkubwa na mara tu mtakaposikia huo mlio, watu wote watapiga kelele kubwa, nazo kuta za mji zitaanguka chini. Ndipo watu watauvamia mji kila mmoja kutoka mahali aliposimama.”
Explore Yoshua 6:5
3
Yoshua 6:3
Wewe na wale watu wenye silaha wote mtauzunguka huo mji mara moja kila siku kwa siku sita.
Explore Yoshua 6:3
4
Yoshua 6:4
Makuhani saba, kila mmoja akiwa amechukua baragumu yake ya pembe za kondoo dume, watatangulia mbele ya sanduku la agano. Katika siku ya saba mtauzunguka mji huo mara saba, huku makuhani wakipiga mabaragumu.
Explore Yoshua 6:4
5
Yoshua 6:1
Milango ya kuingilia mjini Yeriko ilikuwa imefungwa imara kwa ndani kuwazuia Waisraeli wasiingie. Hakuna mtu aliyeweza kuingia wala kutoka katika mji huo.
Explore Yoshua 6:1
6
Yoshua 6:16
Ilipofika mara ya saba, wakati makuhani walipokwisha piga mabaragumu, Yoshua akawaambia watu, “Pigeni kelele, kwa kuwa Mwenyezi-Mungu amekwisha wapeni huu mji!
Explore Yoshua 6:16
7
Yoshua 6:17
Mji huo utaangamizwa na kila kitu kilichomo kwani umewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu. Rahabu, yule kahaba, ndiye atakayesalimishwa pamoja na wale ambao wamo nyumbani mwake kwa kuwa aliwaficha wapelelezi wetu.
Explore Yoshua 6:17
Home
Bible
Plans
Videos