1
Luka 2:11
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Kwa maana, leo hii katika mji wa Daudi, amezaliwa Mwokozi kwa ajili yenu, ndiye Kristo Bwana.
Compare
Explore Luka 2:11
2
Luka 2:10
Malaika akawaambia, “Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kubwa itakayowapata watu wote.
Explore Luka 2:10
3
Luka 2:14
“Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu anaowafadhili!”
Explore Luka 2:14
4
Luka 2:52
Naye Yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na Mungu na watu.
Explore Luka 2:52
5
Luka 2:12
Na hiki kitakuwa kitambulisho kwenu: Mtamkuta mtoto mchanga amevikwa nguo za kitoto, amelazwa horini.”
Explore Luka 2:12
6
Luka 2:8-9
Katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao. Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa Bwana ukawaangazia pande zote. Wakaogopa sana.
Explore Luka 2:8-9
Home
Bible
Plans
Videos