1
Luka 23:34
BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA
Yesu akasema, “Baba, uwasamehe kwa maana hawajui wanalofanya.” Kisha wakagawana mavazi yake kwa kuyapigia kura.
Compare
Explore Luka 23:34
2
Luka 23:43
Yesu akamjibu, “Nakuambia kwa hakika, leo utakuwa pamoja nami peponi.”
Explore Luka 23:43
3
Luka 23:42
Kisha akasema, “Ee Yesu! Unikumbuke wakati utakapoingia katika ufalme wako.”
Explore Luka 23:42
4
Luka 23:46
Yesu akalia kwa sauti kubwa: “Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.” Alipokwisha sema hayo, akakata roho.
Explore Luka 23:46
5
Luka 23:33
Walipofika mahali paitwapo, “Fuvu la Kichwa,” ndipo wakamsulubisha Yesu pamoja na wale wahalifu wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto.
Explore Luka 23:33
6
Luka 23:44-45
Ilikuwa yapata saa sita mchana; jua likaacha kuangaza, giza likaifunika nchi yote mpaka saa tisa, na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili.
Explore Luka 23:44-45
7
Luka 23:47
Hapo, yule jemadari alipoona yaliyotukia akamsifu Mungu akisema: “Hakika huyu alikuwa mtu mwema.”
Explore Luka 23:47
Home
Bible
Plans
Videos