1
Yohana MT. 14:27
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Amani nawaachieni; amani yangu nawatolea; si kama ulimwengu utoavyo, mimi nawatolea. Msifadhaike moyo wenu, wala msiwe na woga.
Compare
Explore Yohana MT. 14:27
2
Yohana MT. 14:6
Yesu akamwambia, Ndimi niliye njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba bila kwa mimi.
Explore Yohana MT. 14:6
3
Yohana MT. 14:1
MSIFADHAIKE mioyo yenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi.
Explore Yohana MT. 14:1
4
Yohana MT. 14:26
Lakini Mfariji, Roho Mtakatifu, ambae Baba atampeleka kwa jina langu, yeye atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
Explore Yohana MT. 14:26
5
Yohana MT. 14:21
Aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendae; nae anipendae atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda, na kujidhihirisha kwake.
Explore Yohana MT. 14:21
6
Yohana MT. 14:16-17
Na mimi nitamwomba Baba, nae atawapa Mfariji mwingine, akaae nanyi hatta milele, Roho ya kweli; ambae ulimwengu hauwezi kumkubali, kwa kuwa haumwoni wala haumjui: bali ninyi mnamjua; maana anakaa kwenu, nae atakuwa ndani yenu.
Explore Yohana MT. 14:16-17
7
Yohana MT. 14:13-14
Na mkiomba lo lote kwa jina langu, hili nitalifanya, Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiomba neno kwa jina langu, hili nitalifanya.
Explore Yohana MT. 14:13-14
8
Yohana MT. 14:15
Mkinipenda mtazishika amri zangu.
Explore Yohana MT. 14:15
9
Yohana MT. 14:2
Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambieni; nashika njia kwenda kuwaandalia mahali.
Explore Yohana MT. 14:2
10
Yohana MT. 14:3
Bassi nikishika njia kwenda kuwaandalia mahali, nitakuja tena, niwakaribisheni kwangu; illi nilipo mimi, nanyi mwepo.
Explore Yohana MT. 14:3
11
Yohana MT. 14:5
Tomaso akamwambia, Bwana, hatujui uendako; twaijuaje njia?
Explore Yohana MT. 14:5
Home
Bible
Plans
Videos