1
Luka MT. 24:49
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Angalieni, bassi, naituma ahadi ya Baba yangu kwenu: lakini kaeni katika mji huu Yerusalemi, hatta mtakapovikwa nguvu zitokazo juu.
Compare
Explore Luka MT. 24:49
2
Luka MT. 24:6
Kumbukeni jinsi alivyosema nanyi alipokuwa hajatoka Galilaya, akinena
Explore Luka MT. 24:6
3
Luka MT. 24:31-32
Yakafumbuliwa macho yao, wakamtambua, akatoweka asionekane nao. Wakaambiana, Je! Mioyo yetu haikuwa ikiwaka ndani yetu, alipokuwa akisema nasi njiani, akitufunulia maandiko?
Explore Luka MT. 24:31-32
4
Luka MT. 24:46-47
Akawaambia, Ndivyo ilivyoandikwa, na ndivyo ilivyompasa Kristo kuteswa, na kufufuka siku ya tatu; na mataifa yote wakhubiriwe kwa jina lake toba na ondoleo la dhambi, kuanzia Yerusalemi.
Explore Luka MT. 24:46-47
5
Luka MT. 24:2-3
Wakalikuta lile jiwe limefingirishwa mbali ya kaburi. Wakaingia, wasiuone mwili wa Bwana Yesu.
Explore Luka MT. 24:2-3
Home
Bible
Plans
Videos