1
Mattayo MT. 15:18-19
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo najis mwana Adamu. Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, mauaji, mazini, asharati, uizi, ushuhuda wa uwongo, na matukano
Compare
Explore Mattayo MT. 15:18-19
2
Mattayo MT. 15:11
Sicho kiingiacho kinywani kimtiacho najis mwana Adamu; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho najis mwana Adamu.
Explore Mattayo MT. 15:11
3
Mattayo MT. 15:8-9
Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao, Na kwa midomo yao huniheshimu; Bali mioyo yao iko mbali yangu. Nao waniabudu ibada ya burre. Wakifundisha mafundisho yaliyo maagizo ya wana Adamu.
Explore Mattayo MT. 15:8-9
4
Mattayo MT. 15:28
Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Ee mwanamke, imani yako kubwa; pata utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.
Explore Mattayo MT. 15:28
5
Mattayo MT. 15:25-27
Nae akaja akamsujudia, akinena. Bwana, nisaidie. Akajibu akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa. Akasema, Ndio, Bwana, illakini hatta mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao.
Explore Mattayo MT. 15:25-27
Home
Bible
Plans
Videos