1
Mattayo MT. 23:11
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Nae aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu.
Compare
Explore Mattayo MT. 23:11
2
Mattayo MT. 23:12
Na ye yote atakaejikuza, atadhiliwa; na ye yote atakaejidhili, atakuzwa.
Explore Mattayo MT. 23:12
3
Mattayo MT. 23:23
Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mnalipa zaka za mnaana na bizari na kumini, mkaacha mambo makuu ya sharia, hukumu, na rehema, na imani: haya imewapasa kuyafanya, na mengine yale msiyaache.
Explore Mattayo MT. 23:23
4
Mattayo MT. 23:25
Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa nmasafisha nje ya kikombe na chungu, na ndani yake vimejaa unyangʼanyi na kutoa kuwa na kiasi.
Explore Mattayo MT. 23:25
5
Mattayo MT. 23:37
Ee Yerusalemi, Yerusalemi, wenye kuwaua manabii, na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! marra ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako, kama vile kuku avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake chini ya mbawa zake, wala hamkukubali!
Explore Mattayo MT. 23:37
6
Mattayo MT. 23:28
Vivyo hivyo ninyi nanyi, kwa nje mwaonekana na watu kuwa wenye haki, hali kwa ndani mmejaa unafiki na maasi.
Explore Mattayo MT. 23:28
Home
Bible
Plans
Videos