1
Marko MT. 3:35
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Kwa maana mtu ye yote atakaeyafanya mapenzi ya Mungu, huyu ndive ndugu yangu, na umbu langu, na mama yangu.
Compare
Explore Marko MT. 3:35
2
Marko MT. 3:28-29
Amin, nawaambieni, Dbambi zote watasamehewa wana Adamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; bali mtu atakaemkufuru Roho Mtakatifu hana masamaha hatta milele; bali atakuwa ana dhambi ya milele
Explore Marko MT. 3:28-29
3
Marko MT. 3:24-25
Na ufalme nkilitinika juu ya nafsi yake ufalme ule hauwezi kusimama; na nyumba ikifitinika juu ya nafsi yake, nyumba ile haiwezi kusimama.
Explore Marko MT. 3:24-25
4
Marko MT. 3:11
Na pepo wachafu, killa walipomwona, wahanguka mbele yake, wakalia wakinena, Wewe ndiwe Mwana wa Mungu.
Explore Marko MT. 3:11
Home
Bible
Plans
Videos