1
Matendo 13:2-3
Neno: Maandiko Matakatifu
Walipokuwa wakimwabudu Mwenyezi Mungu na kufunga, Roho wa Mwenyezi Mungu akasema, “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi ile maalum niliyowaitia.” Ndipo baada ya kufunga na kuomba, wakawawekea mikono yao na wakawatuma waende zao.
Compare
Explore Matendo 13:2-3
2
Matendo 13:39
Kwa kupitia yeye, kila mtu amwaminiye anahesabiwa haki kwa kila kitu ambacho asingeweza kuhesabiwa haki kwa Torati ya Musa.
Explore Matendo 13:39
3
Matendo 13:47
Kwa maana hili ndilo Mwenyezi Mungu alilotuamuru: “ ‘Nimewafanya ninyi kuwa nuru kwa watu wa Mataifa, ili mpate kuuleta wokovu hadi miisho ya dunia.’ ”
Explore Matendo 13:47
Home
Bible
Plans
Videos