1
Matendo 20:35
Neno: Maandiko Matakatifu
Katika kila jambo nimewaonyesha kwamba kwa njia hii ya kufanya kazi kwa bidii imetupasa kuwasaidia wadhaifu, mkikumbuka maneno ya Bwana Isa mwenyewe jinsi alivyosema, ‘Ni heri kutoa kuliko kupokea.’ ”
Compare
Explore Matendo 20:35
2
Matendo 20:24
Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa ya thamani kwangu, kama kuyamaliza mashindano na kukamilisha ile kazi Bwana Isa aliyonipa, yaani, kazi ya kuishuhudia Injili ya neema ya Mungu.
Explore Matendo 20:24
3
Matendo 20:28
Jilindeni nafsi zenu na mlilinde lile kundi lote ambalo Roho wa Mwenyezi Mungu amewaweka ninyi kuwa waangalizi wake. Lichungeni kundi la waumini lake Mungu alilolinunua kwa damu yake mwenyewe.
Explore Matendo 20:28
4
Matendo 20:32
“Sasa nawakabidhi kwa Mwenyezi Mungu na kwa neno la neema yake, linaloweza kuwajenga na kuwapa ninyi urithi miongoni mwa wote ambao wametakaswa.
Explore Matendo 20:32
Home
Bible
Plans
Videos