1
2 Samueli 22:3
Biblia Habari Njema
Mungu wangu, mwamba wangu, ninayemkimbilia usalama; ngao yangu, nguvu ya wokovu wangu, ngome yangu na kimbilio langu. Mwokozi wangu; unaniokoa kutoka kwa watu wakatili.
Compare
Explore 2 Samueli 22:3
2
2 Samueli 22:31
Anachofanya Mungu hakina dosari! Ahadi ya Mwenyezi-Mungu ni ya kuaminika; yeye ni ngao kwa wote wanaomkimbilia.
Explore 2 Samueli 22:31
3
2 Samueli 22:2
Alisema, “Mwenyezi-Mungu ni mwamba wangu, ngome yangu, na mkombozi wangu.
Explore 2 Samueli 22:2
4
2 Samueli 22:33
Mungu huyu ndiye kimbilio langu imara, na ameifanya njia yangu iwe salama.
Explore 2 Samueli 22:33
5
2 Samueli 22:29
Ee Mwenyezi-Mungu, wewe u taa yangu, Mungu wangu, unayefukuza giza langu.
Explore 2 Samueli 22:29
Home
Bible
Plans
Videos