1
Amosi 6:1
Biblia Habari Njema
Ole wenu nyinyi mnaostarehe huko Siyoni, nanyi mnaojiona salama mlimani Samaria! Nyinyi mwaonekana kuwa viongozi wa taifa maarufu ambao Waisraeli wote huwategemea.
Compare
Explore Amosi 6:1
2
Amosi 6:6
Mnakunywa divai kwa mabakuli, na kujipaka marashi mazuri mno. Lakini hamhuzuniki hata kidogo juu ya kuangamia kwa wazawa wa Yosefu.
Explore Amosi 6:6
Home
Bible
Plans
Videos