Nitatoa amri kwamba watu wote katika ufalme wangu ni lazima wamwogope na kumcha Mungu wa Danieli.
“Yeye ni Mungu aliye hai, aishiye milele;
ufalme wake kamwe hauwezi kuangamizwa,
utawala wake hauna mwisho.
Yeye hukomboa na kuokoa,
hufanya ishara na maajabu mbinguni na duniani,
maana amemwokoa Danieli makuchani mwa simba.”