1
Mhubiri 8:15
Biblia Habari Njema
Basi, mimi nasisitiza kuwa mtu ni lazima afaidi raha, kwa kuwa hapa duniani hakuna kilicho kizuri zaidi kuliko kula na kunywa na kujifurahisha. Hayo ndio awezayo kufanya mtu anaposhughulika na kazi katika muda wa maisha yake aliyojaliwa na Mungu duniani.
Compare
Explore Mhubiri 8:15
2
Mhubiri 8:12
Wenye dhambi hutenda maovu mara mia, hata hivyo, huendelea kuishi. Walakini, mimi najua kwamba itakuwa heri kwao wamchao Mungu, kwa sababu ya uchaji wao
Explore Mhubiri 8:12
3
Mhubiri 8:6
Naam, kila kitu kina wakati wake na njia yake, ingawa binadamu anakabiliwa na tatizo kubwa
Explore Mhubiri 8:6
4
Mhubiri 8:8
Hakuna mtu aliye na uwezo wa kushikilia roho yake asife; hakuna mtu aliye na uwezo juu ya siku ya kufa. Wakati wa vita hakuna kuponyoka, na uovu hauwezi kumwokoa mwovu.
Explore Mhubiri 8:8
5
Mhubiri 8:11
Kwa vile uovu haupatilizwi haraka, mioyo ya wanadamu hupania kutenda mabaya.
Explore Mhubiri 8:11
6
Mhubiri 8:14
Kuna jambo moja, bure kabisa nililoligundua hapa duniani: Watu wema hutendewa wastahilivyo waovu, nao waovu hutendewa wastahilivyo watu wema. Hili nalo nasema ni bure kabisa.
Explore Mhubiri 8:14
7
Mhubiri 8:7
Hajui ni nini kitakachotukia baadaye, kwani nani awezaye kumjulisha yatakayotukia baadaye?
Explore Mhubiri 8:7
Home
Bible
Plans
Videos