1
Ezra 10:4
Biblia Habari Njema
Amka uchukue hatua, sisi tutakuunga mkono. Kwa hiyo jipe moyo ufanye hivyo.”
Compare
Explore Ezra 10:4
2
Ezra 10:1
Wakati Ezra alipokuwa anaomba na kuungama huku analia na kujiangusha kifudifudi mbele ya nyumba ya Mungu, umati mkubwa wa watu wa Israeli, wanaume, wanawake na watoto, walikusanyika karibu naye wakilia kwa uchungu mwingi.
Explore Ezra 10:1
Home
Bible
Plans
Videos