1
Waebrania 3:13
Biblia Habari Njema
Maadamu hiyo “Leo” inayosemwa katika Maandiko bado inatuhusu sisi, mnapaswa kusaidiana daima, ili mtu yeyote miongoni mwenu asidanganywe na dhambi na kuwa mkaidi.
Compare
Explore Waebrania 3:13
2
Waebrania 3:12
Basi ndugu, jihadharini asije akawako yeyote miongoni mwenu aliye na moyo mbaya hivyo na asiyeamini hata kujitenga na Mungu aliye hai.
Explore Waebrania 3:12
3
Waebrania 3:14
Maana sisi tunashirikiana na Kristo ikiwa tutazingatia kwa uthabiti tumaini tulilokuwa nalo mwanzoni.
Explore Waebrania 3:14
4
Waebrania 3:8
msiwe wakaidi kama wakati ule waliponiasi kama wakati ule wa majaribio kule jangwani.
Explore Waebrania 3:8
5
Waebrania 3:1
Ndugu zangu, watu wa Mungu ambao mmeitwa na Mungu, fikirini juu ya Yesu Mtume na Kuhani Mkuu wa imani tunayoiungama.
Explore Waebrania 3:1
Home
Bible
Plans
Videos