1
Isaya 12:2
Biblia Habari Njema
Mungu ndiye mwenye kuniokoa, nitamtegemea yeye, wala sitaogopa; Mwenyezi-Mungu hunijalia nguvu; yeye mwenyewe ndiye aniokoaye.”
Compare
Explore Isaya 12:2
2
Isaya 12:3
Mtachota maji kwa furaha kutoka visima vya wokovu.
Explore Isaya 12:3
3
Isaya 12:5
Mwimbieni Mwenyezi-Mungu sifa kwa kuwa ametenda mambo makuu; haya na yajulikane duniani kote.
Explore Isaya 12:5
4
Isaya 12:4
Siku hiyo mtasema: “Mshukuruni Mwenyezi-Mungu mwombeni kwa jina lake. Yajulisheni mataifa matendo yake, tangazeni kuwa jina lake limetukuka.
Explore Isaya 12:4
5
Isaya 12:1
Siku hiyo mtasema: “Nakushukuru, ee Mwenyezi-Mungu, maana ingawa ulinikasirikia, hasira yako imetulia, nawe umenifariji.
Explore Isaya 12:1
6
Isaya 12:6
Pazeni sauti na kuimba kwa furaha, enyi wakazi wa Siyoni, maana aliye mkuu miongoni mwenu ndiye Mungu, Mtakatifu wa Israeli.”
Explore Isaya 12:6
Home
Bible
Plans
Videos