1
Mathayo 3:8
Biblia Habari Njema
Onesheni kwa vitendo kwamba mmetubu.
Compare
Explore Mathayo 3:8
2
Mathayo 3:17
Sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ndiye Mwanangu mpendwa, nimependezwa naye.”
Explore Mathayo 3:17
3
Mathayo 3:16
Mara tu Yesu alipokwisha batizwa, alitoka majini; na kumbe mbingu zikafunguka, akaona Roho wa Mungu akishuka kama njiwa na kutua juu yake.
Explore Mathayo 3:16
4
Mathayo 3:11
Mimi ninawabatizeni kwa maji kuonesha mmetubu. Lakini anayekuja baada yangu ana nguvu kuliko mimi, nami sistahili hata kubeba viatu vyake. Yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
Explore Mathayo 3:11
5
Mathayo 3:10
Basi, shoka liko tayari kwenye mizizi ya miti; hivyo, kila mti usiozaa matunda mazuri utakatwa na kutupwa motoni.
Explore Mathayo 3:10
6
Mathayo 3:3
Huyu Yohane ndiye yule ambaye nabii Isaya alinena juu yake aliposema: “Sauti ya mtu anaita jangwani: ‘Mtayarishieni Bwana njia yake, nyosheni barabara zake.’”
Explore Mathayo 3:3
Home
Bible
Plans
Videos