1
Marko 8:35
Biblia Habari Njema
Maana mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza, lakini mtu anayepoteza maisha yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya Habari Njema, atayaokoa.
Compare
Explore Marko 8:35
2
Marko 8:36
Je, kuna faida gani mtu kuupata ulimwengu wote na kuyapoteza maisha yake?
Explore Marko 8:36
3
Marko 8:34
Kisha akauita umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, “Kama mtu yeyote anataka kuwa mfuasi wangu, lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
Explore Marko 8:34
4
Marko 8:37-38
Ama mtu atatoa kitu gani badala ya maisha yake? Mtu yeyote katika kizazi hiki kiovu na kisicho na uaminifu kwa Mungu, anayenionea aibu mimi na mafundisho yangu, Mwana wa Mtu atamwonea aibu mtu huyo, wakati atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.”
Explore Marko 8:37-38
5
Marko 8:29
Naye akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo.”
Explore Marko 8:29
Home
Bible
Plans
Videos