1
Zaburi 11:7
Biblia Habari Njema
Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu na apenda uadilifu; watu wanyofu watakaa pamoja naye.
Compare
Explore Zaburi 11:7
2
Zaburi 11:4
Mwenyezi-Mungu yumo katika hekalu lake takatifu; kiti cha enzi cha Mwenyezi-Mungu kiko mbinguni. Kwa macho yake huwachungulia wanadamu, na kujua kila kitu wanachofanya.
Explore Zaburi 11:4
3
Zaburi 11:5
Mwenyezi-Mungu huwapima waadilifu na waovu; huwachukia kabisa watu wakatili.
Explore Zaburi 11:5
4
Zaburi 11:3
Kama misingi ikiharibiwa, mtu mwadilifu atafanya nini?”
Explore Zaburi 11:3
5
Zaburi 11:1
Kwake Mwenyezi-Mungu nakimbilia usalama; mnawezaje basi kuniambia: “Ruka kama ndege, mpaka milimani
Explore Zaburi 11:1
Home
Bible
Plans
Videos