1
Zaburi 34:18
Biblia Habari Njema
Mwenyezi-Mungu yu karibu na waliokufa moyo; huwaokoa wote waliokata tamaa kabisa.
Compare
Explore Zaburi 34:18
2
Zaburi 34:4
Nilimwomba Mwenyezi-Mungu naye akanijibu, na kuniondoa katika hofu zangu zote.
Explore Zaburi 34:4
3
Zaburi 34:19
Mateso ya mwadilifu ni mengi, lakini Mwenyezi-Mungu humwokoa kutoka yote.
Explore Zaburi 34:19
4
Zaburi 34:8
Jaribuni mwone Mwenyezi-Mungu alivyo mwema. Heri mtu anayekimbilia usalama kwake.
Explore Zaburi 34:8
5
Zaburi 34:5
Mgeukieni Mungu mpate kufurahi; nanyi hamtaaibishwa kamwe.
Explore Zaburi 34:5
6
Zaburi 34:17
Waadilifu wakimlilia Mwenyezi-Mungu yeye huwasikia, na kuwaokoa katika taabu zao zote.
Explore Zaburi 34:17
7
Zaburi 34:7
Malaika wa Mwenyezi-Mungu huwalinda wote wamchao, na kuwaokoa katika hatari.
Explore Zaburi 34:7
8
Zaburi 34:14
Jiepushe na uovu, utende mema; utafute amani na kuizingatia.
Explore Zaburi 34:14
9
Zaburi 34:13
Basi, acha kusema mabaya, na kuepa kusema uongo.
Explore Zaburi 34:13
10
Zaburi 34:15
Mwenyezi-Mungu huwaangalia waadilifu, na kusikiliza malalamiko yao
Explore Zaburi 34:15
11
Zaburi 34:3
Mtukuzeni Mwenyezi-Mungu pamoja nami, sote pamoja tulisifu jina lake.
Explore Zaburi 34:3
Home
Bible
Plans
Videos