1
Zaburi 41:1
Biblia Habari Njema
Heri mtu anayewajali maskini; Mwenyezi-Mungu atamwokoa wakati wa shida.
Compare
Explore Zaburi 41:1
2
Zaburi 41:3
Mwenyezi-Mungu atamsaidia awapo mgonjwa, atamponya maradhi yake yote.
Explore Zaburi 41:3
3
Zaburi 41:12
Wewe umenitegemeza kwani natenda mema; waniweka mbele yako milele.
Explore Zaburi 41:12
4
Zaburi 41:4
Nami nilisema: “Unifadhili, ee Mwenyezi-Mungu, unihurumie maana nimekukosea wewe.”
Explore Zaburi 41:4
Home
Bible
Plans
Videos