1
Zaburi 63:1
Biblia Habari Njema
Ee Mungu, wewe u Mungu wangu, nami nakutafuta kwa moyo; roho yangu inakutamani kama mtu mwenye kiu; nina kiu kama nchi kavu isiyo na maji.
Compare
Explore Zaburi 63:1
2
Zaburi 63:3
Fadhili zako ni bora kuliko maisha, nami nitakusifu kwa mdomo wangu.
Explore Zaburi 63:3
3
Zaburi 63:4
Nitakushukuru maisha yangu yote; nitainua mikono yangu na kukuomba.
Explore Zaburi 63:4
4
Zaburi 63:2
Nimetaka kukuona patakatifuni pako, niione nguvu yako na utukufu wako.
Explore Zaburi 63:2
5
Zaburi 63:7-8
maana wewe umenisaidia daima. Kivulini mwa mabawa yako nitashangilia. Roho yangu inaambatana nawe kabisa, mkono wako wa kulia wanitegemeza.
Explore Zaburi 63:7-8
6
Zaburi 63:6
Niwapo kitandani ninakukumbuka, usiku kucha ninakufikiria
Explore Zaburi 63:6
Home
Bible
Plans
Videos