1
Zaburi 92:12-13
Biblia Habari Njema
Waadilifu hustawi kama mitende; hukua kama mierezi ya Lebanoni! Kama miti iliyopandwa nyumbani mwa Mwenyezi-Mungu, hustawi katika nyua za Mungu wetu
Compare
Explore Zaburi 92:12-13
2
Zaburi 92:14-15
huendelea kuzaa matunda hata uzeeni; daima wamejaa utomvu na wabichi; wapate kutangaza kwamba Mwenyezi-Mungu ni mnyofu, Mwamba wangu, kwake hamna upotovu.
Explore Zaburi 92:14-15
Home
Bible
Plans
Videos