1 Wafalme 19:12
1 Wafalme 19:12 NEN
Baada ya tetemeko la nchi ukaja moto, lakini BWANA hakuwamo katika ule moto. Baada ya moto ikaja sauti ya utulivu ya kunongʼona.