2 Nyakati 20:4
2 Nyakati 20:4 NEN
Watu wa Yuda wakakusanyika pamoja ili kutafuta msaada kutoka kwa BWANA. Wakaja kutoka kila mji wa Yuda ili kumtafuta.