YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu 6:1-2

Kumbukumbu 6:1-2 NEN

Haya ndiyo maagizo, amri na sheria ambazo BWANA Mungu wenu aliniagiza niwafundishe ninyi ili mpate kuyashika katika nchi ambayo ninyi mnavuka Yordani kuimiliki, ili kwamba ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamche BWANA Mungu wenu siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu.