YouVersion Logo
Search Icon

Ezekieli 12:25

Ezekieli 12:25 NEN

Lakini Mimi BWANA nitasema neno nitakalo, nalo litatimizwa bila kuchelewa. Kwa maana katika siku zako, wewe nyumba ya kuasi, nitatimiza kila nisemalo, asema BWANA Mwenyezi.’ ”