YouVersion Logo
Search Icon

Ezekieli 8:12

Ezekieli 8:12 NEN

Akaniambia, “Mwanadamu, umeona wanayoyafanya wazee wa nyumba ya Israeli gizani, kila mmoja kwenye sehemu yake mwenyewe ya kufanyia ibada za sanamu yake? Wao husema, ‘BWANA hatuoni, BWANA ameiacha nchi.’ ”

Video for Ezekieli 8:12

Free Reading Plans and Devotionals related to Ezekieli 8:12