YouVersion Logo
Search Icon

Hagai 1:5-6

Hagai 1:5-6 NEN

Sasa hili ndilo asemalo BWANA Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu. Mmepanda vingi, lakini mmevuna haba. Mnakula lakini hamshibi, mnakunywa, lakini hamtosheki. Mnavaa nguo, lakini hamsikii joto. Mnapata mishahara, lakini inatoweka kama imewekwa kwenye mfuko uliotobokatoboka.”

Video for Hagai 1:5-6